Suche

Simba Akikuuliza Saa

broschiert, 95 Seiten

€ 9,90 (D)
lieferbar

ISBN: 978-3-7795-0298-2

Schulz, Hermann
Aus dem Deutschen von Said Mzee

Simba Akikuuliza Saa

Temeo ni kijana wa Kiafrika. Siku moja wakati baba yake anatafuta madini ndani ya mgodi anapatwa na ajali. Maisha ya familia yanabadilika. Kila siku daktari anafika nyumbani kumhudumia mgonjwa na anaondoka na kitita cha hela. Hicho ndicho chanzo cha matatizo ya hela ya mama mzazi. Anaamua kumtuma Temeo kwa watu mbali mbali kuomba mikopo Kwa kijana Temeo tenda hiyo ni kibarua cha maisha.